-
Yohana 17:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 “Nimefanya jina lako kuwa dhahiri kwa watu ulionipa kutoka ulimwenguni. Walikuwa wako, nawe ukanipa wao, nao wameshika neno lako.
-