-
Yohana 19:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Basi baada ya mambo haya Yosefu kutoka Arimathea, aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu lakini wa siri kutokana na kuhofu kwake Wayahudi, alimwomba Pilato kwamba apate kuondoa mwili wa Yesu; naye Pilato akampa ruhusa. Kwa hiyo akaja na kuuondoa mwili wake.
-