-
Yohana 20:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Hata hivyo, Maria akaendelea kusimama nje karibu na kaburi, akilia. Ndipo, alipokuwa akilia, akainama kutazama ndani ya kaburi
-
-
Yohana 20:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Hata hivyo, Maria alifuliza kusimama nje karibu na kaburi la ukumbusho, akitoa machozi. Ndipo, alipokuwa akitoa machozi, akainama mbele kutazama ndani ya kaburi la ukumbusho
-