-
Yohana 20:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Nao wakamwambia: “Mwanamke, kwa nini unalia?” Akawaambia: “Wamemwondoa Bwana wangu, nami sijui wamemlaza wapi.”
-
-
Yohana 20:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Nao wakamwambia: “Mwanamke, kwa nini unatoa machozi?” Yeye akawaambia: “Wamemwondoa Bwana wangu, nami sijui wamemlaza wapi.”
-