-
Yohana 21:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Simoni Petro akawaambia: “Ninaenda kuvua samaki.” Wakamwambia: “Sisi pia tunakuja pamoja nawe.” Wakatoka kwenda wakapanda ndani ya mashua, lakini usiku huo hawakuvua kitu.
-