-
Matendo 14:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Sasa katika Listra kulikuwa kumeketi mwanamume fulani asiyejiweza katika miguu yake, kilema kutoka kwenye tumbo la uzazi la mama yake, naye alikuwa hajatembea kamwe hata kidogo.
-