-
Matendo 14:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Naye Barnaba wakamwita Zeu, lakini Paulo wakamwita Herme, kwa kuwa ndiye aliyekuwa akiongoza katika kusema.
-
-
Matendo 14:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Nao ukaanza kuita Barnaba Zeusi, lakini Paulo Hermesi, kwa kuwa alikuwa ndiye mwenye kuongoza katika kusema.
-