-
Matendo 17:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kwa mfano, nilipokuwa nikipita njiani na kutazama kwa uangalifu vitu vyenu vya ibada, niliona pia madhabahu ambayo ilikuwa imeandikwa ‘Kwa Mungu Asiyejulikana.’ Kwa hiyo kile mnachokipa ujitoaji-kimungu bila kujua, hicho ninawatangazia ninyi.
-
-
Matendo 17:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Kwa mfano, nilipokuwa nikipita njiani na kutazama kwa uangalifu vitu vyenu vya kupewa heshima inayozidi nilikuta pia madhabahu ambayo juu yayo ilikuwa imeandikwa ‘Kwa Mungu Asiyejulikana.’ Kwa hiyo kile mnachokipa ujitoaji-kimungu bila kujua, hicho ninawatangazia nyinyi.
-