-
Matendo 19:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Kwa hiyo wakiwa pamoja wakamtoa Aleksanda katikati ya umati, Wayahudi wakimsukuma mbele kwa nguvu; na Aleksanda akapunga mkono naye alikuwa akitaka kujitetea mbele ya watu.
-
-
Matendo 19:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Kwa hiyo wakiwa pamoja wakamleta Aleksanda nje ya umati, Wayahudi wakimsukuma kwa nguvu mbele; na Aleksanda akapunga mkono wake naye alikuwa akitaka kujitetea kwa watu.
-