-
Matendo 20:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Akapanda ghorofani, akapata mlo na kula chakula, na baada ya kuongea kwa muda mrefu, mpaka mapambazuko, mwishowe akaondoka.
-
-
Matendo 20:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Sasa akapanda orofani na kuanza mlo akala chakula, na baada ya kuongea kwa muda mrefu, mpaka mapambazuko, hatimaye akaondoka.
-