-
Matendo 20:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 tukasafiri kutoka huko siku iliyofuata, tukafika upande wa pili wa Kio, lakini siku iliyofuata tukafika Samo, na siku iliyofuata hiyo tukafika Mileto.
-
-
Matendo 20:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 na, tukisafiri kwa mashua kutoka huko siku yenye kufuatia, tukawasili upande wa pili wa Kiosi, lakini siku iliyofuata tukawasili Samosi, na siku iliyofuata hiyo tukawasili Mileto.
-