-
Matendo 27:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Sasa karibu na mapambazuko Paulo akaanza kuwatia moyo wote wale chakula, akisema: “Leo ni siku ya kumi na nne ambayo mmekuwa mkikesha na kukaa bila chakula, mkiwa hamjala chochote.
-
-
Matendo 27:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Sasa karibu na mfikio wa mchana Paulo akaanza kutia moyo wote kutwaa chakula, akisema: “Leo ni siku ya kumi na nne ambayo mmekuwa katika lindo na mnaendelea bila chakula, mkiwa hamjajitwalia wenyewe kitu chochote.
-