-
Waroma 7:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Lakini sasa tumeondolewa katika Sheria, kwa sababu tumekufa kwa kile ambacho tulikuwa tumeshikwa nacho sana, ili tupate kuwa watumwa katika maana mpya kwa roho, wala si katika maana ya zamani kwa njia ya mfumo wa sheria iliyoandikwa.
-