-
1 Wakorintho 15:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Lakini vitu vyote vitakapokuwa vimetiishwa kwake, ndipo Mwana mwenyewe atakapojitiisha pia kwa Yule aliyetiisha vitu vyote kwake, ili Mungu apate kuwa vitu vyote kwa kila mtu.
-