-
1 Wakorintho 15:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Utukufu wa jua ni wa namna moja, na utukufu wa mwezi ni mwingine, na utukufu wazo nyota ni mwingine; kwa kweli, nyota hutofautiana na nyota kwa utukufu.
-