-
2 Wakorintho 8:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Hata hivyo, kama vile mnavyozidi katika kila jambo, katika imani na neno na ujuzi na hali yote ya bidii na katika upendo huu wetu kwa nyinyi, mpate pia kuzidi katika upaji huu wenye fadhili.
-