-
2 Wakorintho 10:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 La, hatujisifu katika kazi za jasho za mtu mwingine nje ya mipaka yetu tuliyogawiwa, bali twashika tumaini kwamba, kadiri imani yenu inavyoongezwa, sisi tupate kufanywa wakubwa miongoni mwenu kuhusiana na eneo letu. Ndipo tutakapozidi hata zaidi,
-