-
Waefeso 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Mimi, niliye mtu mdogo kuliko aliye mdogo zaidi sana kati ya watakatifu wote, nilipewa fadhili hii isiyostahiliwa, ili niwatangazie mataifa habari njema juu ya kina kisichofikilika cha utajiri wa Kristo
-