-
1 Wathesalonike 4:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa maana hili ndilo tuwaambialo nyinyi kwa neno la Yehova, kwamba sisi tulio hai ambao twabaki hadi kuwapo kwa Bwana hatutawatangulia kwa njia yoyote wale ambao wamelala usingizi katika kifo;
-