-
Waebrania 10:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Kwa maana mlionyesha kushiriki hisia kwa ajili ya wale walio gerezani na pia kwa shangwe mkakubali kwa uvumilivu kuporwa mali zenu, mkijua nyinyi wenyewe mna miliki bora na yenye kudumu.
-