-
Yakobo 3:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Tazameni! Hata mashua, zijapokuwa ni kubwa sana na huendeshwa na pepo kali, huongozwa na mtambo wa usukani ulio mdogo sana kwenda ambako mwelekeo wa mtu aliye kwenye usukani ataka.
-