-
1 Petro 3:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa maana, pia, ndivyo walivyokuwa wakijipamba wale wanawake watakatifu hapo zamani, waliokuwa wakimtumaini Mungu, wakijitiisha kwa waume zao wenyewe,
-
-
1 Petro 3:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa maana, pia, ndivyo wanawake watakatifu hapo zamani waliokuwa wakitumaini katika Mungu walivyokuwa na kawaida ya kujiremba, wakijitiisha wenyewe kwa waume zao wenyewe,
-