-
1 Yohana 1:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Hata hivyo, ikiwa tunatembea katika nuru kama yeye mwenyewe alivyo katika nuru, twashirikiana sisi kwa sisi, na damu ya Yesu Mwana wake hutusafisha kutoka katika dhambi yote.
-