-
1 Yohana 4:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Hakuna hofu katika upendo, lakini upendo mkamilifu hutupa hofu nje, kwa sababu hofu hufanyiza kizuizi. Kwa kweli, yeye ambaye yuko chini ya hofu hajafanywa mkamilifu katika upendo.
-