-
Ufunuo 9:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa hayo mapigo matatu sehemu ya tatu ya wanadamu waliuawa, kutokana na ule moto na moshi na kiberiti vilivyotoka katika vinywa vyao.
-
-
Ufunuo 9:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa hizo tauni tatu theluthi moja ya wanadamu waliuawa, kutokana na moto na moshi na sulfa vilivyotoka katika vinywa vyao.
-