Maelezo ya Chini
a Yonathani alikuwa na miaka 20 hivi alipotajwa mara ya kwanza akiwa kiongozi wa kijeshi mwanzoni mwa utawala wa miaka 40 wa Sauli. (Hesabu 1:3; 1 Samweli 13:2) Hivyo, haikosi kwamba Yonathani alikuwa akikaribia miaka 60 alipokufa karibu mwaka wa 1078 K.W.K. Kwa kuwa wakati huo Daudi alikuwa na umri wa miaka 30, ni wazi kwamba Yonathani alimzidi Daudi umri kwa miaka 30 hivi.—1 Samweli 31:2; 2 Samweli 5:4.