Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 31
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli—Yaliyomo

      • Kifo cha Sauli na wanawe watatu (1-13)

1 Samweli 31:1

Marejeo

  • +1Sa 14:52; 29:1
  • +1Sa 28:4; 2Sa 1:21; 1Nya 10:1-5

1 Samweli 31:2

Marejeo

  • +1Sa 13:2
  • +1Nya 8:33

1 Samweli 31:3

Marejeo

  • +2Sa 1:4, 6

1 Samweli 31:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “na kunitesa.”

Marejeo

  • +1Sa 17:26; 2Sa 1:20
  • +1Nya 10:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    8/8/1992, kur. 7-8

1 Samweli 31:5

Marejeo

  • +1Sa 26:10; 1Nya 10:13

1 Samweli 31:6

Marejeo

  • +1Sa 28:19; 1Nya 10:6, 7

1 Samweli 31:7

Marejeo

  • +1Sa 13:6

1 Samweli 31:8

Marejeo

  • +1Sa 28:4; 31:1; 2Sa 1:6; 1Nya 10:8-12

1 Samweli 31:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “mahekalu ya.”

Marejeo

  • +2Sa 1:20
  • +Amu 16:23

1 Samweli 31:10

Marejeo

  • +Yos 17:11; Amu 1:27

1 Samweli 31:11

Marejeo

  • +1Sa 11:1, 9-11

1 Samweli 31:13

Marejeo

  • +2Sa 21:12
  • +2Sa 2:4, 5

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 31:11Sa 14:52; 29:1
1 Sam. 31:11Sa 28:4; 2Sa 1:21; 1Nya 10:1-5
1 Sam. 31:21Sa 13:2
1 Sam. 31:21Nya 8:33
1 Sam. 31:32Sa 1:4, 6
1 Sam. 31:41Sa 17:26; 2Sa 1:20
1 Sam. 31:41Nya 10:4
1 Sam. 31:51Sa 26:10; 1Nya 10:13
1 Sam. 31:61Sa 28:19; 1Nya 10:6, 7
1 Sam. 31:71Sa 13:6
1 Sam. 31:81Sa 28:4; 31:1; 2Sa 1:6; 1Nya 10:8-12
1 Sam. 31:92Sa 1:20
1 Sam. 31:9Amu 16:23
1 Sam. 31:10Yos 17:11; Amu 1:27
1 Sam. 31:111Sa 11:1, 9-11
1 Sam. 31:132Sa 21:12
1 Sam. 31:132Sa 2:4, 5
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 31:1-13

Kitabu cha Kwanza cha Samweli

31 Sasa Wafilisti walikuwa wakipigana na Waisraeli.+ Na wanaume wa Israeli wakawakimbia Wafilisti, na wengi wakauawa kwenye Mlima Gilboa.+ 2 Wafilisti wakamkaribia sana Sauli na wanawe, nao wakamuua Yonathani,+ Abinadabu, na Malki-shua, wana wa Sauli.+ 3 Vita vikawa vikali sana dhidi ya Sauli, na wapiga mishale wakampata na kumjeruhi vibaya.+ 4 Ndipo Sauli akamwambia mtu aliyembebea silaha: “Chomoa upanga wako unichome nao, ili watu hawa wasiotahiriwa+ wasije kunichoma kwa upanga na kunitendea kikatili.”* Lakini mtu huyo aliyembebea silaha hakutaka kufanya hivyo, kwa sababu aliogopa sana. Basi Sauli akachukua upanga na kuuangukia.+ 5 Mtu aliyembebea silaha alipoona kwamba Sauli amekufa,+ yeye pia akauangukia upanga wake mwenyewe, akafa pamoja naye. 6 Basi Sauli, wanawe watatu, mtu aliyembebea silaha, na wanaume wake wote wakafa pamoja siku hiyo.+ 7 Watu wa Israeli waliokuwa katika eneo la bondeni na katika eneo la Yordani walipoona kwamba wanaume wa Israeli wamekimbia na kwamba Sauli na wanawe wamekufa, wakaanza kuyaacha majiji na kukimbia;+ kisha Wafilisti wakaja na kukaa humo.

8 Siku iliyofuata, Wafilisti walipokuja kuwavua waliouawa vitu walivyokuwa navyo, walimkuta Sauli na wanawe watatu wakiwa wameanguka kwenye Mlima Gilboa.+ 9 Basi wakamkata kichwa na kumvua silaha zake na kutuma ujumbe kotekote katika nchi ya Wafilisti ili habari+ zienezwe katika nyumba za* sanamu zao+ na miongoni mwa watu. 10 Kisha wakaweka silaha zake katika nyumba ya sanamu za Ashtorethi na kuitundika maiti yake kwenye ukuta wa Beth-shani.+ 11 Wakaaji wa Yabeshi-gileadi+ waliposikia mambo ambayo Wafilisti walikuwa wamemtendea Sauli, 12 mashujaa wote wakaondoka na kusafiri usiku kucha, wakaondoa maiti za Sauli na wanawe kutoka kwenye ukuta wa Beth-shani. Wakarudi Yabeshi na kuzichoma moto huko. 13 Kisha wakachukua mifupa yao+ na kuizika chini ya mti wa mwesheli huko Yabeshi,+ nao wakafunga kwa siku saba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki