Maelezo ya Chini
a Pia, Kwadrato, Aristides, Tatian, Apollinaris, Athenagoras, Theofilo, Melito, Minusio Feliksi, na waandikaji wengineo wasio maarufu sana, walikuwa watetezi wa imani. Ona toleo la Mnara wa Mlinzi la MeiĀ 15, 2003, ukurasa wa 27-29, na la MachiĀ 15, 1996, ukurasa wa 28-30.