Maelezo ya Chini
a Kumekuwa na ukuzi kama huo katika nchi kama vile Argentina (Kitabu cha Mwaka wa 2001, ukurasa wa 186, Kiingereza); Ujerumani Mashariki (Kitabu cha Mwaka wa 1999, ukurasa wa 83, Kiingereza); Papua New Guinea (Kitabu cha Mwaka wa 2005, ukurasa wa 63); na Kisiwa cha Robinson Crusoe (Mnara wa Mlinzi, Juni 15, 2000, ukurasa wa 9).