Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Agosti 4-10
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Julai

AGOSTI 4-10

METHALI 25

Wimbo 154 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yesu anazungumza akiwa kwenye sinagogi, huku akiwa ameshika kitabu cha kukunjwa kilichofunguliwa. Kikundi cha wanaume, wanawake, na watoto wakisikiliza kwa makini.

Yesu akiwa katika sinagogi huko Nazareti, watu wanastaajabishwa na maneno yake yenye neema

1. Kanuni Zenye Hekima Zinazotusaidia Tunapozungumza

(Dak. 10)

Chagua wakati unaofaa wa kuzungumza (Met 25:11; w15 12/15 19 ¶6-7)

Zungumza kwa fadhili (Met 25:15; w15 12/15 21 ¶15-16; ona picha)

Zungumza maneno yanayoburudisha (Met 25:25; w95 4/1 17 ¶8)

Dada kijana akizungumza kwa heshima na mwalimu wake shuleni.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 25:28—Methali hii inamaanisha nini? (it-2 399)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 25:​1-17 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo na mtu anayeonekana kuwa mwenye huzuni. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mtu huyo anakueleza kwamba ana imani yenye nguvu kuelekea dini. (lmd somo la 8 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) ijwyp makala ya 23—Kichwa: Nifanye Nini Ikiwa Watu Wanaeneza Porojo Kunihusu? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 123

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 6, utangulizi wa sehemu ya 3, na somo la 7

Umalizio (Dak 3.) | Wimbo 150 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2025 | Mei

Makala ya 22: Agosti 4-10, 2025

20 Jina la Yehova Lina Umuhimu Gani kwa Yesu?

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki