AGOSTI 4-10
METHALI 25
Wimbo 154 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
Yesu akiwa katika sinagogi huko Nazareti, watu wanastaajabishwa na maneno yake yenye neema
1. Kanuni Zenye Hekima Zinazotusaidia Tunapozungumza
(Dak. 10)
Chagua wakati unaofaa wa kuzungumza (Met 25:11; w15 12/15 19 ¶6-7)
Zungumza kwa fadhili (Met 25:15; w15 12/15 21 ¶15-16; ona picha)
Zungumza maneno yanayoburudisha (Met 25:25; w95 4/1 17 ¶8)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 25:1-17 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo na mtu anayeonekana kuwa mwenye huzuni. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mtu huyo anakueleza kwamba ana imani yenye nguvu kuelekea dini. (lmd somo la 8 jambo kuu la 4)
6. Hotuba
(Dak. 5) ijwyp makala ya 23—Kichwa: Nifanye Nini Ikiwa Watu Wanaeneza Porojo Kunihusu? (th somo la 13)
Wimbo 123
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 6, utangulizi wa sehemu ya 3, na somo la 7