Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Toleo la Hiari ili Kuendeleza Ibada Safi
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 1
    • Waisraeli walikuwa na vitu vya kutosha kuweza kutoa mchango kama huo wa ukarimu. Kumbuka kwamba walipotoka Misri walichukua vito vya dhahabu na fedha pamoja na nguo nyingi. Kwa kweli, “wakawateka Wamisri nyara.”a (Kutoka 12:35, 36)

  • Toleo la Hiari ili Kuendeleza Ibada Safi
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 1
    • a Huo haukuwa wizi. Waisraeli waliomba michango kutoka kwa Wamisri, wakapewa kwa hiari. Isitoshe, kwa kuwa Wamisri hawakuwa na haki ya kuwafanya Waisraeli watumwa, walipaswa kuwalipa watu wa Mungu mishahara kwa kazi ngumu waliyokuwa wamefanya kwa miaka mingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki