Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Moyo Uliovunjika na Kupondwa” Unapotafuta Msamaha
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Mei 1
    • Inaelekea Daudi anafikiri kwamba hadithi hiyo ni ya kweli, naye anakasirika sana na kusema hivi bila kufikiri: “Mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!” Kwa nini? Daudi anaeleza: “Kwa sababu hakuwa na huruma.”a—Mstari wa 2-6.

  • “Moyo Uliovunjika na Kupondwa” Unapotafuta Msamaha
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Mei 1
    • a Mtu aliyemtayarishia mgeni mwana-kondoo wa kula alionyesha sifa ya ukaribishaji-wageni. Lakini mtu aliyeiba mwana-kondoo alifanya uhalifu, na hivyo aliadhibiwa kwa kulipa kondoo wanne. (Kutoka 22:1) Kwa maoni ya Daudi, mtu huyo tajiri ambaye alichukua mwana-kondoo wa maskini hakuwa na huruma. Kwa hiyo, tajiri huyo aliiba mnyama wa yule mwanamume maskini ambaye huenda angeandalia familia yake maziwa na manyoya na ambaye hata angezaa kundi kubwa la kondoo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki