Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nabii wa Kale Mwenye Ujumbe wa Kisasa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kwa mfano, Ahazi aliwaruhusu raia zake washiriki katika ibada ya sanamu na hata yeye mwenyewe aliabudu sanamu, “akampitisha mwanawe motoni” katika dhabihu ya tambiko kwa Moleki, mungu wa Wakanaani.b (2 Wafalme 16:3, 4; 2 Mambo ya Nyakati 28:3, 4)

  • Nabii wa Kale Mwenye Ujumbe wa Kisasa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • b Wengine husema kuwa ‘kupitisha motoni’ labda kwamaanisha tu sherehe ya utakaso. Ingawa hivyo, yaonekana kuwa katika muktadha huu usemi huo hurejezea dhabihu halisi. Hakuna shaka yoyote kwamba Wakanaani na Waisraeli waasi-imani walizoea kudhabihu watoto.—Kumbukumbu la Torati 12:31; Zaburi 106:37, 38.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki