Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uwe na “Bidii kwa Ajili ya Kazi Njema”!
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Juni 15
    • Asa ‘aliondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu, akazivunja nguzo takatifu na kuikata miti mitakatifu.’ (2 Nya. 14:3) Yehoshafati, akichochewa na bidii kwa ajili ya ibada ya Yehova, ‘aliondoa mahali pa juu na miti mitakatifu katika Yuda.’—2 Nya. 17:6; 19:3.a

  • Uwe na “Bidii kwa Ajili ya Kazi Njema”!
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Juni 15
    • a Huenda Asa aliondoa mahali pa juu ambapo palitumiwa kwa ajili ya ibada ya miungu ya uwongo lakini si mahali ambapo watu walimwabudu Yehova. Au huenda ikawa kwamba mahali pa juu palijengwa tena katika kipindi cha mwisho cha utawala wa Asa na kwamba paliondolewa na mwana wake Yehoshafati.—1 Fal. 15:14; 2 Nya. 15:17.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki