Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ni Nani Mtu wa Maana Zaidi Katika Maisha Yako?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 15
    • Lakini bado Shetani hakunyamaza. Aliendelea kulalamika hivi: “Ngozi kwa ngozi, na kila kitu alicho nacho mtu atakitoa kwa ajili ya nafsi yake.”a (Ayu. 2:4) Shetani alidai kwamba ikiwa Ayubu mwenyewe angeteseka, hangemwona Yehova kuwa Mtu wa maana zaidi katika maisha yake.

  • Ni Nani Mtu wa Maana Zaidi Katika Maisha Yako?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Mei 15
    • a Wasomi fulani wa Biblia wanafikiri kwamba huenda maneno “ngozi kwa ngozi” yanamaanisha kwamba Ayubu angekuwa tayari kuruhusu kwa uchoyo watoto na wanyama wake wapoteze ngozi zao, au uhai, ikiwa tu yeye angeendelea kuwa na ngozi yake, au uhai. Wengine wanafikiri maneno hayo yanakazia kwamba mtu angekuwa tayari kupoteza sehemu fulani ya ngozi ikiwa hilo lingemaanisha kuokoa uhai wake. Kwa mfano, mtu anaweza kuinua mkono wake ili ajikinge asipigwe kichwa, na hivyo kupoteza sehemu fulani ya ngozi yake. Haidhuru maneno hayo ya mfano yana maana gani, bila shaka yanamaanisha kwamba Ayubu alikuwa tayari kutoa kila kitu ili aendelee kuwa hai.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki