-
Ikiwa Muumba Anajali, Mbona Wanadamu Wanateseka Sana?Je, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
Kumbe msiba huja na wenzake. Yobu alishikwa na maradhi mabaya sana ambayo yalimpiga mwili wote kwa majipu.c Akawa mgonjwa sana na mwenye kuchukiza sana hivi kwamba mke wake akamlaumu Mungu. Akasema, “Umkufuru Mungu, ukafe.” Yobu hakujua kwa nini anateseka, lakini yeye hakumshtaki Mungu kuwa amesababisha kuteseka huko. Twasoma hivi: “Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi kwa midomo yake.”—Ayubu 2:6-10.
-
-
Ikiwa Muumba Anajali, Mbona Wanadamu Wanateseka Sana?Je, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
c Mafungu mengine yaonyesha picha kamili ya kuteseka kwa Yobu. Nyama yake ilifunikwa kwa mabuu, ngozi yake ilifanyiza maganda, na pumzi yake ilikuwa yenye kuchukiza sana. Yobu alikuwa na maumivu tele, na ngozi yake iliyogeuka kuwa nyeusi ilianguka.—Ayubu 7:5; 19:17; 30:17, 30.
-