-
Uaminifu-Maadili wa Ayubu WathawabishwaMnara wa Mlinzi—1998 | Mei 1
-
-
Kwanza, Yehova aliponya maradhi yake yenye kuogopwa. Kisha, ndugu, dada, na washiriki wa Ayubu wa zamani wakaja kumfariji, “kila mtu akampa kipande cha fedha, na pete ya dhahabu kila mmoja.”a
-
-
Uaminifu-Maadili wa Ayubu WathawabishwaMnara wa Mlinzi—1998 | Mei 1
-
-
a Thamani ya “kipande cha fedha” (Kiebrania, qesi·tahʹ) haiwezi kujulikana. Lakini wakati wa Yakobo, “vipande mia vya fedha” vilinunua eneo kubwa la shamba. (Yoshua 24:32) Kwa hiyo, yaelekea “kipande cha fedha” kutoka kwa kila mgeni kilikuwa zawadi kubwa.
-