Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu Akujali Wewe
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Machi 1
    • a Chupa ya ngozi ilikuwa kiwekeo cha ngozi ya mnyama kilichotumiwa kuwekea vitu kama maji, maziwa, divai, siagi, na jibini. Chupa za kale zilitofautiana sana kwa ukubwa na muundo, nyingine zikiwa mifuko ya ngozi na nyingine zikiwa viwekeo vyenye shingo nyembamba na vifuniko.

  • Mungu Akujali Wewe
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Machi 1
    • Na bado, katika taabu hizo zote Daudi alikuwa na uhakika kwamba Yehova alimjali yeye binafsi. “Umehesabu kutanga-tanga kwangu,” akasema katika sala kwa Yehova. Ndiyo, kwa Daudi ni kana kwamba Yehova alikuwa ameyaandika masaibu yake yote. Kisha Daudi akaongezea: “Uyatie machozi yangu katika chupa yako [“chupa yako ya ngozi,” NW] (Je, hayamo katika kitabu chako?)”a (Zaburi 56:8) Kwa mfano huo, Daudi alionyesha uhakika wake kwamba Yehova hakujua tu hali yake bali alijua jinsi ilivyomwathiri kihisia-moyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki