-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata itakuwa yeye atakayejibariki duniani, atajibariki kwa Mungu wa kweli; naye atakayeapa duniani, ataapa kwa Mungu wa kweli. Kwa kuwa taabu za kwanza zimesahauliwa, na kwa kuwa zimefichwa machoni pangu.” (Isaya 65:15, 16)
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hawatatafuta baraka kwa mungu yeyote wa uwongo wala hawataapa kwa jina la sanamu yoyote isiyo na uhai. Bali, wanapojibariki au kuapa, watafanya hivyo kwa jina la yule Mungu wa uaminifu. (Isaya 65:16, kielezi-chini katika tafsiri ya NW) Wakaaji wa nchi watakuwa na sababu ya kumwamini Mungu wakiwa na uhakika kabisa, kwani atakuwa amethibitisha kuwa yeye ni mtimizaji wa ahadi zake.c Wayahudi wakiisha kuwa salama nchini mwao, wataisahau upesi misononeko iliyowapata zamani.
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kulingana na Isaya 65:16 katika maandishi ya Kimasoreti ya Kiebrania, Yehova ndiye “Mungu wa Ameni.” “Ameni” humaanisha “na iwe hivyo,” au “ni hakika,” na hilo ni neno la kutoa uthibitisho au uhakikisho wa kwamba jambo fulani ni la kweli au ni sharti litimie. Kwa kutimiza ahadi zake zote, Yehova anaonyesha kwamba yale anayoyasema ni ya kweli.
-