-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
21, 22. Ni taifa gani ambalo sasa lapata ufunuo wa hukumu, na maneno ya Isaya yaliyopuliziwa yatimizwaje?
21 Ethiopia, iliyoko kusini mwa Misri, imepambana kijeshi dhidi ya Yuda angalau mara mbili. (2 Mambo ya Nyakati 12:2, 3; 14:1, 9-15; 16:8) Sasa Isaya atabiri hukumu juu ya taifa hilo: “Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, iliyoko mbali kupita mito ya Kushi [“Ethiopia,” “NW”].” (Soma Isaya 18:1-6.)a
-
-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
a Wasomi fulani hudokeza kwamba usemi “nchi ya uvumi wa mabawa” warejezea nzige ambao husongamana huko Ethiopia mara kwa mara. Wengine husema kuwa sauti ya neno la Kiebrania linalotafsiriwa “uvumi,” tsela·tsalʹ, yafanana na sauti ya jina ambalo Wagala, wanaoishi katika Ethiopia ya sasa, walimwita mbung’o, yaani, tsaltsalya.
-