Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwisho Wenye Kutazamisha wa Dini ya Uwongo Waonekana Kimbele
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 6. (a) Uchi wa Babiloni utafunuliwa katika maana gani? (b) Ni jinsi gani Mungu ‘hamkubali mtu ye yote’? (Ona kielezi-chini.)

      6 Yehova anaendeleza shutuma yake: “Uchi wako utafunuliwa, naam, aibu yako itaonekana. Nitalipa kisasi; simkubali mtu ye yote.” (Isaya 47:3)c Naam, Babiloni ataaibishwa na kuvunjiwa heshima. Uovu na ukatili anaowafanyia watu wa Mungu utafichuliwa peupe. Hakuna binadamu anayeweza kuzuia kisasi cha Mungu!

  • Mwisho Wenye Kutazamisha wa Dini ya Uwongo Waonekana Kimbele
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • c Usemi wa Kiebrania uliotafsiriwa “simkubali mtu ye yote” umefafanuliwa na wasomi kuwa “kifungu kigumu mno” kutafsiriwa. Biblia ya New World Translation huingiza neno “kwa fadhili” kutoa wazo la kwamba hakuna watu wowote wa nje ambao wangeruhusiwa kuja kumwokoa Babiloni. Tafsiri ya Jewish Publication Society hutafsiri hivi maneno hayo: ‘Sitaruhusu mwanadamu yeyote afanye upatanisho.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki