Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Alijifunza Kuwa Mwenye Rehema
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Aliamuru kwamba watu wote na pia wanyama wa kufugwa wavae nguo za magunia.c Alikiri kwa unyenyekevu kwamba watu wake walikuwa na hatia ya kutenda mabaya na jeuri.

  • Alijifunza Kuwa Mwenye Rehema
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Yona 3:6-

  • Alijifunza Kuwa Mwenye Rehema
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • c Huenda jambo hilo likashangaza, lakini lilitukia katika siku za kale. Mwanahistoria Mgiriki Herodoto alisema kwamba Waajemi wa kale waliomboleza kifo cha jenerali maarufu kwa kuhusisha wanyama wa kufugwa katika desturi za kuomboleza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki