Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mchungaji Anayejali
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 1
    • Akimfananisha Yehova na mchungaji, Yesu alisema: “Mtu akiwa na kondoo 100 na mmoja apotee, je, hatawaacha wale 99 milimani na kuondoka kwenda kumtafuta yule anayepotea?

  • Mchungaji Anayejali
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 1
    • (Mathayo 18:12

  • Mchungaji Anayejali
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 1
    • Mchungaji alihisi ana wajibu kumwelekea kila mmoja wa kondoo zake. Ikiwa kondoo angepotea, mchungaji angejua ni kondoo gani aliyepotea. Alijua kila kondoo kwa jina alilokuwa amempa. (Yohana 10:3) Mchungaji anayejali hangepumzika hadi ampate kondoo aliyepotea na kumrudisha katika kundi. Kwa kwenda kumtafuta kondoo aliyepotea, hawahatarishi wale kondoo wengine 99 anaowaacha. Kwa kawaida, wachungaji walikaa pamoja na kuwaacha kondoo wao wachangamane.a Hivyo, mchungaji aliyeenda kumtafuta kondoo aliyepotea, angewaacha wachungaji wenzake wawachunge wale kondoo wengine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki