Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Afunua “Hekima Kutoka kwa Mungu”
    Mkaribie Yehova
    • Kijana Yesu alikuwa amesimama mbele yao katika sinagogi akiwafundisha. Walimfahamu sana kwa sababu alikulia na kufanya kazi ya useremala katika mji wao kwa miaka mingi. Huenda baadhi yao waliishi katika nyumba ambazo Yesu alisaidia kujenga, au huenda walilima mashamba yao kwa plau na nira ambazo Yesu alitengeneza.a

  • Yesu Afunua “Hekima Kutoka kwa Mungu”
    Mkaribie Yehova
    • a Katika nyakati za Biblia, maseremala walijenga nyumba, walitengeneza fanicha, na vifaa vya kilimo. Justin Martyr, aliyeishi katika karne ya pili W.K., aliandika hivi kumhusu Yesu: “Alikuwa seremala maarufu aliyetengeneza plau na nira alipokuwa duniani.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki