Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Usitawi wa Muundo wa Tengenezo
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Buku la Millennial Dawn liitwalo The New Creation (lililotangazwa katika 1904) lilipozungumza tena kirefu juu ya fungu la wazee na njia ambayo walipaswa kuteuliwa, uangalifu wa pekee ulielekezwa kwenye Matendo 14:23. Konkodansi zilizotungwa na James Strong na Robert Young zilitajwa kuwa mamlaka kwa maoni ya kwamba ile taarifa “walikuwa wamewaweka rasmi kuwa wazee” (KJ) yapasa kutafsiriwa “walikuwa wamewateua kuwa wazee kwa wonyesho wa mikono.”d Baadhi ya tafsiri za Biblia hata husema kwamba wazee ‘waliwekwa kwa kura.’ (Literal Translation of the Holy Bible ya Young; Emphasised Bible ya Rotherham)

  • Usitawi wa Muundo wa Tengenezo
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • d Maana halisi ya neno lililotumiwa katika maandishi ya Biblia ya Kigiriki (khei·ro·to·neʹo) ni “tandaza, nyoosha, au inua mkono,” na, kwa kupanua, lingeweza pia kumaanisha, “kuteua au kuchagua kwa ajili ya cheo kwa kuinua mikono.”—A Greek and English Lexicon to the New Testament, ya John Parkhurst, 1845, uku. 673.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki