-
“Mtu Mwingine Hajapata Kamwe Kusema Kama Huyu”‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
-
-
“Kuna furaha zaidi katika kutoa kuliko ilivyo katika kupokea.”b (Mathayo 7:1; 9:12; 26:41; Marko 12:17; Matendo 20:35)
-
-
“Mtu Mwingine Hajapata Kamwe Kusema Kama Huyu”‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
-
-
b Maneno hayo ya mwisho yanayopatikana kwenye Matendo 20:35 yananukuliwa na mtume Paulo tu. Huenda alisimuliwa maneno hayo (na mtu aliyemsikia Yesu akiyasema au alisimuliwa na Yesu aliyefufuliwa) au aliyapokea kupitia ufunuo kutoka kwa Mungu.
-