-
Paulo Atoa Ushahidi kwa Ujasiri Mbele ya WaheshimiwaMnara wa Mlinzi—1998 | Septemba 1
-
-
Paulo aliendelea kusimulia jinsi alivyopata ono lenye kushtusha ambamo Yesu aliyefufuliwa alimwuliza: “Kwa nini unaninyanyasa mimi? Kufuliza kupiga teke dhidi ya michokoo hufanya iwe vigumu kwako.”a—Matendo 26:4-14.
-
-
Paulo Atoa Ushahidi kwa Ujasiri Mbele ya WaheshimiwaMnara wa Mlinzi—1998 | Septemba 1
-
-
a Usemi “kupiga teke dhidi ya michokoo” hufafanua kitendo cha fahali ambaye hujiumiza anapopiga teke fimbo yenye ncha kali ambayo imenuiwa kuendesha na kuongoza mnyama. Vivyo hivyo, kwa kuwanyanyasa Wakristo, Sauli angejidhuru mwenyewe tu, kwa kuwa alikuwa akipigana na watu waliokuwa na utegemezo wa Mungu.
-