-
Maswali Manne Kuhusu Mwisho YajibiwaMnara wa Mlinzi—2010 | Agosti 1
-
-
Lakini kwa neno hilohilo mbingu na duniab za sasa zimewekwa akiba kwa ajili ya moto nazo zinahifadhiwa mpaka ile siku ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomwogopa Mungu.”—2 Petro 3:5-7.
-
-
Maswali Manne Kuhusu Mwisho YajibiwaMnara wa Mlinzi—2010 | Agosti 1
-
-
b Katika andiko hilo Petro anazungumzia dunia ya mfano. Musa, mwandikaji mwingine wa Biblia, alizungumzia pia dunia ya mfano. Aliandika hivi: “Dunia yote iliendelea kuwa na lugha moja.” (Mwanzo 11:1) Dunia halisi haiwezi kuzungumza “lugha moja,” hali kadhalika, si dunia halisi itakayoharibiwa. Lakini kama Petro anavyosema, ni watu wasiomwogopa Mungu watakaoangamizwa.
-