-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na mimi nilipoona yeye, mimi nilianguka kama mfu kwenye nyayo zake.” (Ufunuo 1:16, 17a, NW)
-
-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Uhalisi wa tamasha hii ni dhahiri sana! Yohana aliyeshikwa mno na hofu ya staha alitendaje? Mtume huyo anatuambia hivi: “Na mimi nilipoona yeye, mimi nilianguka kama mfu kwenye nyayo zake.”—Ufunuo 1:17, NW.
-
-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu mimi na akasema: ‘Usiwe mwenye hofu. Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho,
-
-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Katika Isaya 44:6, NW, kwa kufaa Yehova anakieleza cheo chake kuwa ndiye Mungu mweza yote mmoja tu na wa pekee, akisema: “Mimi ndiye wa kwanza na wa mwisho, na mbali na mimi hakuna Mungu.”a Yesu anapojitokeza mwenyewe kwa mtajo wa cheo “wa Kwanza na wa Mwisho,” yeye hadai kuwa yu sawa na Yehova, yule Muumba Mtukufu. Yeye anatumia mtajo wa cheo aliopewa kwa kufaa na Mungu. Katika Isaya, Yehova alikuwa akitoa taarifa kuhusu cheo Chake kisicho na kifani akiwa ndiye Mungu wa kweli. Yeye ni Mungu milele, na mbali na yeye hakuna Mungu kweli kweli. (1 Timotheo 1:17) Katika Ufunuo, Yesu anazungumza juu ya mtajo wake wa cheo ambao amepewa, akivuta fikira kwenye ufufuo wake usio na kifani.
3. (a) Ni katika njia gani Yesu alikuwa “wa Kwanza na wa Mwisho”? (b) Ni jambo gani linalomaanishwa na Yesu kuwa na “funguo za kifo na za Hadesi”?
3 Yesu alikuwa kweli kweli ndiye binadamu “wa Kwanza” kufufuliwa kwenye uhai wa roho usioweza kufa. (Wakolosai 1:18) Na zaidi, yeye ndiye “wa Mwisho” kufufuliwa hivyo na Yehova binafsi.
-